vibertz
JF-Expert Member
- Mar 15, 2022
- 2,474
- 4,726
Sasa hiyo mechi si walishinda Medeam na umeona hao Belouizdad walivyoikaba koo Al Ahly kwao. Sasa ni vipi umshushe Medeama?Cr Belouzidad
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa hiyo mechi si walishinda Medeam na umeona hao Belouizdad walivyoikaba koo Al Ahly kwao. Sasa ni vipi umshushe Medeama?Cr Belouzidad
Wapuuuzi tuWanaojuq sheria watakuja kukujibu
Hivi ukitumia tu hata rula ukachora mstari hapo hutaona hilo lijamaa limezidi na hishati gwake?Vipi kuhusu red card kwa lichezaji la Mediama?
Yanga wajifunze kwa Simba namna ya kucheza mpira nnje ya uwanja.
Ambatanisha hapa hizo penati walizonyimwa Mediama sawa na hii offside ya mchongo View attachment 2836933
Uliangalia walishindaje? Na goli la ushindi unajua lilipatikana vipi?Sasa hiyo mechi si walishinda Medeam na umeona hao Belouizdad walivyoikaba koo Al Ahly kwao. Sasa ni vipi umshushe Medeama?
Aden Rageeeeeeee..............................[emoji851]Hivi ukitumia tu hata rula ukachora mstari hapo hutaona hilo lijamaa limezidi na hishati gwake?
Hiyo ni offside ya wazi kabisa tatizo Arajiga kawalemaza
Hesabu zipi? It's too late.Hatimaye hesabu za uto kucheza robo fainali cafcl zimetiki
Hata goli la utopolo walifanya faulo refa akapetaKulikuwa na penati ngapi leo ambazo amezipeta za Medeama?
Kuna faulo ngapi ambazo Backa alizifanya na hakusimamisha mpira?
Ukitaka maamuzi ya refa yawe fair yanaweza kukuumiza na wewe.
Kuhusu offside hilo halina mjadala, ilikuwa ni clear na angeruhusu liwe goli ningeingia uwanjani japo nipo TZ
Kabisa umenikumbusha nukta ya muhimuHata goli la utopolo walifanya faulo refa akapeta
Itakuwa walimpa kibunda yuleRefa mpuuzi sana.
Ulikuwa nyepesi ile sio ya kuumiza kakaKabisa umenikumbusha nukta ya muhimu
Badala yake pongezi imeenda kwa Pacome wamemsahau refa kwa juhudi zake kufanikisha hilo liwezekane
Offside kama hizi mlipowafunga simba zilikuwa hazina shidaVipi kuhusu red card kwa lichezaji la Mediama?
Yanga wajifunze kwa Simba namna ya kucheza mpira nnje ya uwanja.
Ambatanisha hapa hizo penati walizonyimwa Mediama sawa na hii offside ya mchongo View attachment 2836933
Ila Yanga Ipunguze Mbwembwe wakiwa kwenye Box.
Wakiangalia marudio ya hii mechi wanaweza kujifunza kitu.
Kibabage ni mdhaifu sana kwenye kufanya maamuzi.
Vipi kuhusu red card kwa lichezaji la Mediama?
Yanga wajifunze kwa Simba namna ya kucheza mpira nnje ya uwanja.
Ambatanisha hapa hizo penati walizonyimwa Mediama sawa na hii offside ya mchongo View attachment 2836933