FT: Madeama 1-1 Yanga | CAFCL | Baba Yara Sport Stadium | 08.12.2023

FT: Madeama 1-1 Yanga | CAFCL | Baba Yara Sport Stadium | 08.12.2023

Vipi kuhusu red card kwa lichezaji la Mediama?

Yanga wajifunze kwa Simba namna ya kucheza mpira nnje ya uwanja.

Ambatanisha hapa hizo penati walizonyimwa Mediama sawa na hii offside ya mchongo View attachment 2836933
Hivi ukitumia tu hata rula ukachora mstari hapo hutaona hilo lijamaa limezidi na hishati gwake?

Hiyo ni offside ya wazi kabisa tatizo Arajiga kawalemaza
 
Kulikuwa na penati ngapi leo ambazo amezipeta za Medeama?

Kuna faulo ngapi ambazo Backa alizifanya na hakusimamisha mpira?

Ukitaka maamuzi ya refa yawe fair yanaweza kukuumiza na wewe.

Kuhusu offside hilo halina mjadala, ilikuwa ni clear na angeruhusu liwe goli ningeingia uwanjani japo nipo TZ
Hata goli la utopolo walifanya faulo refa akapeta
 
Vp tena waxee mbona yanga tulikubaliana kila mchezaji anafunga goli tofauti na kipindi cha mayele au tumetengua hiyo kauli
 
Ila Yanga Ipunguze Mbwembwe wakiwa kwenye Box.
Wakiangalia marudio ya hii mechi wanaweza kujifunza kitu.

Kibabage ni mdhaifu sana kwenye kufanya maamuzi.

Dogo kapata nafasi nyingi lakini maamuzi yake ni ya NBC Premier League
 
Back
Top Bottom