FT: Madeama 1-1 Yanga | CAFCL | Baba Yara Sport Stadium | 08.12.2023

FT: Madeama 1-1 Yanga | CAFCL | Baba Yara Sport Stadium | 08.12.2023

"Kila msimu Simba Sc inaishia robo fainali"

Nadhani sasa wanauona ugumu wa kupenya robo fainali CAFCL.
Walishauona zamani sema wanajitoa ufahamu tu!! Ndiyo maana wao hawana kabisa ndoto za kucheza robo fainali labda itokee tu kama kuokota dodo kwenye mwarobaini!! Malengo yao walishayatiumiza yaani kuingia makundi, bila kujali wanashika mkia na vitu kaa hivyo!
 
Nilichogundua mashabiki wa simba wapo bize sana na kuingalia yanga, ata huku mtaani huwasikii wakizungumzia game ya kesho.

Ameniwei!!! Njia bado nyeupe kwa wanajangwani kutinga robo.
 
Nilichogundua mashabiki wa simba wapo bize sana na kuingalia yanga, ata huku mtaani huwasikii wakizungumzia game ya kesho.

Ameniwei!!! Njia bado nyeupe kwa wanajangwani kutinga robo.
Naam Tutashinda na kwenda Hadi Fainali sema Gamondi simuamini tena [emoji23]
 
20231208_233643.jpg

#DimaWydad
 
Yule mchezaji wenu makolo aliye paka blichi anajua boli au kapaka na yeye aonekane tu
 
Back
Top Bottom