Execute
JF-Expert Member
- Sep 21, 2022
- 3,000
- 7,336
Refa ni wao, ile straight red cad. Angefanya mchezaji wa Yanga ile foul ni umeme moja kwa moja angepewa
Weiterleitungshinweis
www.google.com
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Refa ni wao, ile straight red cad. Angefanya mchezaji wa Yanga ile foul ni umeme moja kwa moja angepewa
Eti na wewe hapo unaona umetoa hoja, ndio maana hata wazee wa zamani walikuwa wanapiga sana vita bangi.Kocha mwenyewe ana ma vidot mwili mzima utafikir kuku kanyonyolewa
Labda kama ni mtoto mdogo wa juzi!! Hata rekodi ya Simba 5 - 0 Utopolo hauijui?Bado rekodi iliyopo, utopolo 5- 1 Mijusi🤦🙄🙄🙄
5G inawatesa sana.Tulisema Yanga atashika mkia mwanzo mwisho, na ndivyo ilivyo!!
Si tunaangalia recent au? Mnajipoza tu lakini maumivu yako pale pale.Labda kama ni mtoto mdogo wa juzi!! Hata rekodi ya Simba 5 - 0 Utopolo hauijui?
Vipi kuhusu red card kwa lichezaji la Mediama?
Yanga wajifunze kwa Simba namna ya kucheza mpira nnje ya uwanja.
Ambatanisha hapa hizo penati walizonyimwa Mediama sawa na hii offside ya mchongo
Hapo mpira bado haujapigwa!! Wakati mpira unapogwa alisogea mbele View attachment 2836933
Yule yupo vilevile hajashuka sema nyie ndio hamjajua kwanini mnamuona kashukaHata Max naye kashuka sana kimchezo, sijui wamepatwa na nini hawa Watu.
Walishauona zamani sema wanajitoa ufahamu tu!! Ndiyo maana wao hawana kabisa ndoto za kucheza robo fainali labda itokee tu kama kuokota dodo kwenye mwarobaini!! Malengo yao walishayatiumiza yaani kuingia makundi, bila kujali wanashika mkia na vitu kaa hivyo!"Kila msimu Simba Sc inaishia robo fainali"
Nadhani sasa wanauona ugumu wa kupenya robo fainali CAFCL.
Lol! Jana ulipitiliza b..., hadi sasa najiuliza jana ilikuwaje hadi ikawa vile. Kule kupania kwa jana ni pro aiseeh.
Naam Tutashinda na kwenda Hadi Fainali sema Gamondi simuamini tena [emoji23]Nilichogundua mashabiki wa simba wapo bize sana na kuingalia yanga, ata huku mtaani huwasikii wakizungumzia game ya kesho.
Ameniwei!!! Njia bado nyeupe kwa wanajangwani kutinga robo.
Mkuki kwa nguruwe
Ingekutokea wewe saizi hiyo ndio ingekuwa hoja kubwa ya kujitetea
Nilichogundua mashabiki wa simba wapo bize sana na kuingalia yanga, ata huku mtaani huwasikii wakizungumzia game ya kesho.
Ameniwei!!! Njia bado nyeupe kwa wanajangwani kutinga robo.
Andamana basiOfusaidiiiiiiiiiiiii ya mchongoView attachment 2836908
Embu tuwasikitikie kwa pamoja 🤨 ts, ts, tsYanga wamecheza mechi 9 kwenye hatua ya Caf champions league group stage hawajawahi kushinda mechi hata moja.