FT: Mamelodi Sundowns 0-0 Yanga SC | CAF CL Quarter Final | Leg 2 | Loftus Versfeld Stadium | 05/04/2024 (Penat 3-2)

Yn huyo refa ni anapendelea loh, lile ni goli la waz kbs. Ila sijui ndo wanataka huyo mamelod apite kwa lazima na usishangae akaja kutoa penat huko mbele
 
Asante Kennedy Musonda. Umecheza mpira mkubwa sana leo.
 
Hii staili ya uchezaji ya Mamelod inafanana kabisa na staili ya uchezaji ya Simba,haina maajabu kwenye mpira wa kisasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…