Ndugu zetu wa Kolo FC leo wanakumbuka kutumia lugha za kujumuisha mara "........ tunapigwa wote........ wote tunaondoka........".Wakati mwanzoni waliweka mpaka ahadi kwamba Yanga hapati hata droo wao wataanza kushangilia kuanzia goli la tatu na Al Ahly.Kuna mpuzi wao mmoja anayependa kukimbilia kamera akadai Yanga akipata hata droo ataolewa,sasa sijui kishapata mumenau bado. Tundaman kamuhaidi Priva,1m endapo Yanga akidroo ,sasa sijui Priva kishadaka mshiko wake. Kuna mtu humu JF anaijiita somebody bright alisema Yanga ikidroo anajitoa JF,ila namuona yupo humu.
Cha msingi tuendelee vilevile kama tulivyo anza round ya kwanza,kwani kila timu inamatokeo yake tofauti.