FT: Mamelodi Sundowns 0-0 Yanga SC | CAF CL Quarter Final | Leg 2 | Loftus Versfeld Stadium | 05/04/2024 (Penat 3-2)

FT: Mamelodi Sundowns 0-0 Yanga SC | CAF CL Quarter Final | Leg 2 | Loftus Versfeld Stadium | 05/04/2024 (Penat 3-2)

Nikaanze kupika mapemaaaa kabisa, ili mida niwe tayari kuangalia game kubwa.....make ijumaa ya leo sio ijumaa kuu
Ijumaa ya leo inatisha sana.
Mpaka inafika Saa Saba za usiku,

Habari itakuwa imeisha kabisa
 
kivumbi na jasho
 

Attachments

  • IMG_20240312_183358.jpg
    IMG_20240312_183358.jpg
    301.9 KB · Views: 1
"Mamelodi Wapo Unga"....
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hii ni baada ya game
 
Ndugu zetu wa Kolo FC leo wanakumbuka kutumia lugha za kujumuisha mara "........ tunapigwa wote........ wote tunaondoka........".Wakati mwanzoni waliweka mpaka ahadi kwamba Yanga hapati hata droo wao wataanza kushangilia kuanzia goli la tatu na Al Ahly.Kuna mpuzi wao mmoja anayependa kukimbilia kamera akadai Yanga akipata hata droo ataolewa,sasa sijui kishapata mumenau bado. Tundaman kamuhaidi Priva,1m endapo Yanga akidroo ,sasa sijui Priva kishadaka mshiko wake. Kuna mtu humu JF anaijiita somebody bright alisema Yanga ikidroo anajitoa JF,ila namuona yupo humu.

Cha msingi tuendelee vilevile kama tulivyo anza round ya kwanza,kwani kila timu inamatokeo yake tofauti.
 
Back
Top Bottom