FT: Mamelodi Sundowns 0-0 Yanga SC | CAF CL Quarter Final | Leg 2 | Loftus Versfeld Stadium | 05/04/2024 (Penat 3-2)

FT: Mamelodi Sundowns 0-0 Yanga SC | CAF CL Quarter Final | Leg 2 | Loftus Versfeld Stadium | 05/04/2024 (Penat 3-2)

Ila Yanga leo tia maji tia maji Gamondi kawaweza mashabiki
 
Huwa nikiangalia mechi ya yanga huwa nafuata burudani na vipaji. Sasa hiki kikosi butu mshkj wangu Pacome hayumo ni naangalia mtu anayejitetea huku akipigwa.

Ngoja nisubiri Simba yangu, labda itafanya kakitu.
Guede ni mzuri kuliko Pacome alisema mwana uto
 
Hivi unaamini kuwa Guede ni chaguo la kocha au ni viongozi kutokana na bajeti pamoja na kipindi cha usajili (dirisha dogo) kuwa na desturi ya ugumu kwenye soko la kuweza kupata wachezaji bora?
Nanukuu,

"""Bora hata angeanza Mzize anayekosa magoli ya wazi, huku akijituma na kuwasumbua mabeki! Dah!! Hii ni kamari ya hatari sana kocha ameamua kuicheza.""""

Kuna brother mmoja Ali itwa senge huyu bro alikua Ni hatari Sana kwenye kufumania nyavu..

Mzize anashindwa Nini kuji train kwenye hiyo area ya kushindwa ku score nafasi za wazi..

Mfano
Afanye ivi achukue mipira hata mitatu mpaka minne afanye zoezi la kugongesha mitambaa panya siku nzima itamwongezea umakini pia Kama Hana utulivu ajarib ku smoke hata mjani kidogo kichwa ikae sawa ama kupiga mvinyo kidogo kutampa utulivu
 
Mimi nimevurugwa kumuona mchezaji kama Guede eti anaanza!!
Tukumuani kocha, yeye anahitaji profile kuliko Sisi.

Kama report ya madaktari wachezaji hao hawako fit kucheza tuwaamini waliopo na tupokee matokeo yoyote Yale, hiyo ndio football.
 
Back
Top Bottom