Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Yanga mbona mmeingia baridi kama kuku wenye mdondo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Guede ni mzuri kuliko Pacome alisema mwana utoHuwa nikiangalia mechi ya yanga huwa nafuata burudani na vipaji. Sasa hiki kikosi butu mshkj wangu Pacome hayumo ni naangalia mtu anayejitetea huku akipigwa.
Ngoja nisubiri Simba yangu, labda itafanya kakitu.
Nanukuu,Hivi unaamini kuwa Guede ni chaguo la kocha au ni viongozi kutokana na bajeti pamoja na kipindi cha usajili (dirisha dogo) kuwa na desturi ya ugumu kwenye soko la kuweza kupata wachezaji bora?
Hili wachezaji si walikuwa wanalijua?Yanga mbina mmeingia baridi kama kuku wenye mdondo
Tukumuani kocha, yeye anahitaji profile kuliko Sisi.Mimi nimevurugwa kumuona mchezaji kama Guede eti anaanza!!
Umevuta nini wewe?confidence ya kocha kama huyu ndio inanifanya niamini Yanga tunabeba hili kombe.
mbwebwe zote za wiki iliyopita zimekuisha Ndio maana umezidiwa uzuri na watoto wa kizuruIla Yanga leo tia maji tia maji Gamondi kawaweza mashabiki
Ila kupigwa chuma ni nje njeSauzi Kuna vyuma aisee
C'ssy Maky, umeshiba lakini mama angu..!?Nipo nachekea chooni Mdogo wangu
Leo nje baridi ndani baridi....[emoji1787]