United ya Ferguson
JF-Expert Member
- Oct 29, 2021
- 3,132
- 6,353
Nenda kafuge nyau uko kabla hujaanza kutazama watazamaji walikuwepo wakutosha kwahyo hupunguzi chochoteHili zimwi la kubebwa litawatafuna CAF na kiongozi wao.
Aisee hii mechi yanga alitakiwa kupita.
KUANZIA LEO SITIZAMI CAFCL WALA CAFCC TENA.
Nitaishabikia Yanga NBC pl