FT: Mamelodi Sundowns 0-0 Yanga SC | CAF CL Quarter Final | Leg 2 | Loftus Versfeld Stadium | 05/04/2024 (Penat 3-2)

FT: Mamelodi Sundowns 0-0 Yanga SC | CAF CL Quarter Final | Leg 2 | Loftus Versfeld Stadium | 05/04/2024 (Penat 3-2)

Hili zimwi la kubebwa litawatafuna CAF na kiongozi wao.
Aisee hii mechi yanga alitakiwa kupita.
KUANZIA LEO SITIZAMI CAFCL WALA CAFCC TENA.
Nitaishabikia Yanga NBC pl
Nenda kafuge nyau uko kabla hujaanza kutazama watazamaji walikuwepo wakutosha kwahyo hupunguzi chochote
 
IMG-20240405-WA0025.jpg
 
Wee acha madogo wananicheka hapa live, yani wanacheka balaa. Wanasema sister pole 🤣😂😂😂😂
Nimekasirika kweli
Hutakiwi kukasirika. Kwa uwekezaji wa Mamelodi sio sawa na timu yetu. Hao wanaocheka ni wehu na uwazoee na mara nyingi huwa wanajifurahisha ila moyoni wanakiri kwamba Yanga wanaweza. Tushukuru kwa hapa, tujipange kwa mwaka ujao mkuu. Kwa namna yoyote, lazima mmoja angeshinda.
 
Back
Top Bottom