FT: Mamelodi Sundowns 0-0 Yanga SC | CAF CL Quarter Final | Leg 2 | Loftus Versfeld Stadium | 05/04/2024 (Penat 3-2)

FT: Mamelodi Sundowns 0-0 Yanga SC | CAF CL Quarter Final | Leg 2 | Loftus Versfeld Stadium | 05/04/2024 (Penat 3-2)

Nkamu nimeona, jamaa km jini linakatengua magoli, huyu tungempa sepenga kabla ya mechi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kiboko yake ni Nigeria
Antena zake hazikufua dafu
Alikuwa mweupe kama sembe[emoji16]

Cape Verde lilidaka penati zao karibia zote halafu watu wanakuja kuwalaumu Yanga..
Hata angekuwa fundi gani wa kupiga,bado lingedaka.


Sasahivi kilichobaki ni mitusi kwa huyo mwendawazimu wa kuitwa refarii.
 
Huyo Williams sikio zake Zina antena
Zinanasa mipira inakokwenda.

Ndiye golikipa Bora wa Afcon huyo.
Bado alifungwa vizuri sana tu Ivory Coast kwa penati hizo hizo akiwa na Bafana Bafana, kiujumla penati huwa haina mwenyewe ingawa leo 05/04/2024 Refa ndiye Man of the Match kwa Mamelody Sundowns.
 
maneno HUUMBA.wana yanga wenzangu msimtafute mchawi
 

Attachments

  • Screenshot_20240405_232604_Gallery.jpg
    Screenshot_20240405_232604_Gallery.jpg
    75.4 KB · Views: 1
Back
Top Bottom