Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiboko yake ni NigeriaNkamu nimeona, jamaa km jini linakatengua magoli, huyu tungempa sepenga kabla ya mechi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bado alifungwa vizuri sana tu Ivory Coast kwa penati hizo hizo akiwa na Bafana Bafana, kiujumla penati huwa haina mwenyewe ingawa leo 05/04/2024 Refa ndiye Man of the Match kwa Mamelody Sundowns.Huyo Williams sikio zake Zina antena
Zinanasa mipira inakokwenda.
Ndiye golikipa Bora wa Afcon huyo.
Sikushauri ulewe sister kwani sio kitu cha kuoendeza mbeleza Mungu. Sasa wanacheka nini?Tatizo madogo wote simba wananicheka mpk nimetamani kuwafukuza 🤣🤣🤣🤣
Dah! Hii mechi imeniuma, ngoja nile savannah akili ikae vzr kwanza
Lomalisa na Nzengeli wasingekosa zile penalties!
What a loss! 😭😭
Nasimama na mgoli wa azizi ki uliokataliwaLabda kipindi cha tatu 😁😁
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wangepita hawa sijui ingekuwaje....tungesimangwa kama watoto wa kambo......eeeh!! Mungu Baba umesikia dua langu....maana swaum zingekuwa ngumu Sana.......
Mna sikilizia penalty wakat hamna maajabu
Nimekumic sana[emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona kama unalazimisha Yanga tuseme hivyoHatutaki kusikia timu imekufa kiume.Hii lugha ni uhuni
Tangulia kwenye crying room ila usifunge mlangoShukrani mkuu, mamelodi wameshimdwa kuscore mechi mbili dhidi ya Yanga.
Ni bahati tu haikuwa upande wetu.
Nilimdanga babaako?? Acha genye mtoto wa kiume kaza tacle mxiewwww!!We mdangaji tulia
Uduguu twende kulee bhanaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] udugu niwacheee
Acha Roho Mbaya Mwasibu. Hujawahi kuwatakia mema yanga hata siku 1.Bora hakuna wa kumcheka mwenzie
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hatimaye mwakarobo wapata mwanachama mpya
Tuliza hasira bosi. Maisha lazima yaendelee mkuu.Nilimdanga babaako?? Acha genye mtoto wa kiume kaza tacle mxiewwww!!
lomalisa hajapiga penaltyNasimama na mgoli wa azizi ki uliokataliwa
Bila hata ya VAR lile ni goli. Refa hakutakiwa kusubiri aambiwe, alitakiwa kwenda kuangalia.Haikuhitaji hata VAR, hili lilikua goli ....😏😏😏
Mimi lawama zote Nampa refariiBado alifungwa vizuri sana tu Ivory Coast kwa penati hizo hizo akiwa na Bafana Bafana, kiujumla penati huwa haina mwenyewe ingawa leo 05/04/2024 Refa ndiye Man of the Match kwa Mamelody Sundowns.