FT: Mamelodi Sundowns 0-0 Yanga SC | CAF CL Quarter Final | Leg 2 | Loftus Versfeld Stadium | 05/04/2024 (Penat 3-2)

FT: Mamelodi Sundowns 0-0 Yanga SC | CAF CL Quarter Final | Leg 2 | Loftus Versfeld Stadium | 05/04/2024 (Penat 3-2)

Hivi simba walipenya vipi mpk kuingia robo fainali?? Kwa mpira gani haswaah!!! Huu ninaoungalia au kuna mwingine??

Eti wewe cocastic kolo 🤣🤣🤣🤣
 
FB_IMG_17031147824036915.jpg
 
Hivi simba walipenya vipi mpk kuingia robo fainali?? Kwa mpira gani haswaah!!! Huu ninaoungalia au kuna mwingine??

Eti wewe cocastic kolo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nikuulize wee uliyeanza kutolewa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uliingiaje huku?
 
Hoja ya pili.uingereza marefa wanavaa saa ambayo kama goli litakuwa limeingia .ile saa inatoa mlio.je refa alikuwa nayo?je goal line technology ilikuwepo leo?.mlaumu azizi ki kugongesha mwamba.alishindwa vipi kupunguza kipimo?🤣🤣🤣🤣
Unajua kama refa kaonesha madhaifu mengi juu ya hiyo VAR??
Unafananisha VAR tech ya Europe na huku??
Huwezi kuwa serious ngojea nikuache.
 
Back
Top Bottom