Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Mtahamisha magoli mpaka mfe wima kuku nyie..!!Hapana... Utopolo Inawezekana kuchukua Confederation Cup, lakini haiwezi kuwa bingwa wa Africa.
Leo umechafukwa 😂 😂 😂 😂 😂Utakufa ww umebinuka basi..unatuambiaje tutakufa kisa mpira tuu??
Huyo Mayele mnamtaja taja nyie umeniona saa ngapi namtaja mimi?.
Hebu furahia ushindi wako usituvuruge..