FT: Mlandege 1 - 0 Simba SC | Mapinduzi Cup | New Amaan Complex | Fainali | 13.01.2024. Kombe limebaki Mlandege

Duuh huu uchawi wa Mlandege utakuwa wa Chumbe, hivi timu za Zanzibar hazichezi kimataifa, ili tujue hawa Mlandege huwa wanakuwa hivi hivi na kimataifa au ndio uchawi hauvuki bahari
 
Huku umeisha dakika ya 94

Dakika za nyongeza hazijaisha zote na bado kulikuwa na upotevu mkubwa wa muda
ACHANA NA DAKIK LKN SIMBA HATUNA TIMU APO

Toke uko Nusu fainali tunacheza kama walemavu tunaingiza viungo lakin ndo hao akina Onana
 
NIMECHEKEAAAAA JAMANI ATI NA WAOOO WANALIAAA REFA KAMALIZA DK YA 94.2 HAHAHAAA W
😄 🤣
😂 😆 😄 🤣 😂 😆 😄 🤣 😂 MKOMEEE MLIZOEAAA KUONGEZEWA WENZENU WAMEZIPUNGUZA MJUE UCHUNGU WAKE PHANTOMMANYOYAAAA
 
Heshima ya Mwinyi
 
20231113_130451.jpg
 
Duuh huu uchawi wa Mlandege utakuwa wa Chumbe, hivi timu za Zanzibar hazichezi kimataifa, ili tujue hawa Mlandege huwa wanakuwa hivi hivi na kimataifa au ndio uchawi hauvuki bahari
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nachekaa had baas. Hili kombe kuanzia mwaka jana ni limepangwa kubaki hapo.

Hata singida walitolewa makusudi ili aingie mwingne aporwe, na mwakani itakua hvyo.
Refaa kawasaidia sana mlandege,
 
Back
Top Bottom