FT: Morocco 1-0 Tanzania | AFCON 2025 | 16 Round | Prince Moulay Stadium, Rabat | 04 January 2026| Saa 1:00 Usiku

Tumejitahidi sana.

Ila lile tatizo alilolieleza Robert Heriel Mtibeli leo nimeliona kwa kiasi kikubwa.

Malezi yetu kuna namna yana tatizo, kidogo mtu akipata elimu kujiamini kunaongezeka. Ila kama elimu hana, lugha ngeni changamoto basi hata kutetea haki zake kwenye michezo ni shida zaidi, kama ilivyotokea leo.
 
Mlitaka watetee vipi?
Mbona wamelalamika sana?
 
Et wanaumia! Wanatakiwa kujua kuwa hayo maumivu wanayopata no mara 100 kwa wale wanaodhlumiwa haki zao ktk chaguzi,utekaji na uuaji.
Ila Mungu atalipa tu yaliyotokea yote.
 
C tulikubaliana viongozi wa siasa wameenda kuongeza nguvu ili tushinde kombe, imekuwaje tena wakuu tumetolewa?
 
Mwamuzi matako yako

Morocco na taifa ni mbingu na ardhi, acheni kulalamika...Morocco sio ndondo cup, wale wamejaaliwa, wana kipaji kikubwa ukilinganisha na timu zote za Afrika na ulaya kwa ujumla.

Timu inashika 10 bora ya dunia bado unalalamikia refa amewabeba!!! Hata kama ni chuki sio hivyo tena mzee baba, anaejua anajua tu,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…