FT: Morocco 1-0 Tanzania | AFCON 2025 | 16 Round | Prince Moulay Stadium, Rabat | 04 January 2026| Saa 1:00 Usiku

Mwaka umeanza vibaya kwa timu ya Taifa kuonewa. Hii ni ishara kwamba mwaka huu wabongo tutaonewa sana. Tutaonewa na nani, hata mimi sijui nawaza waza tu ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
Tumeonewa sana leo ๐Ÿฅน
 
Tumeonewa sana na hilo refa
Tanzania hatujatendewa haki kabisa
Haki gani dadaa, yani hata nyie wa kulalamikia Morocco the big giant in afrika amebebwa, kweli!!! Ingelikua Argentina, spain au ufaransa wamebebwa hapo unaweza ukaamini, sasa kitaifa stars kweli hahaaaa kuweni serious.
 
Haki gani dadaa, yani hata nyie wa kulalamikia Morocco the big giant in afrika amebebwa, kweli!!! Ingelikua Argentina, spain au ufaransa wamebebwa hapo unaweza ukaamini, sasa kitaifa stars kweli hahaaaa kuweni serious.
Wamebebwa ndio
Kama umeangalia mechi mwanzo mwisho refa alikuwa na upendeleo hilo lipo wazi.

Stars wamecheza mpira mzuri sana leo.
Ukiacha hizi blah blah za giant,
Ukweli ni kwamba Morocco wamebebwa na refa.
 
Wamebebwa ndio
Kama umeangalia mechi mwanzo mwisho kocha alikuwa na upendeleo hilo lipo wazi.

Stars wamecheza mpira mzuri sana leo.
Ukiacha hizi blah blah za giant,
Ukweli ni kwamba Morocco wamebebwa na refa.
Upendeleo gani?? Kuumiza wachezaji wa Morocco!!! Unadhani zile card zinatolewa tu ilimradi, kubalini tu waarabu wako mbali sana kisoka, hatuwawezi, sio level yetu wale, sisi tudili na ndondo cup yetu.

Kila mara kulalamikia waarabu kubebwa, hata wewe bebwa tu, sijui ni lini mliacha kulalamika kila wanapokutana Morocco na timu ya weusi!!! Kama kweli wewe ni mtu wa football na unajua mpira huwezi ukasema Morocco wanabebwa.
 
Ww unatoa county ipi ? Ww na refa lenu moja
Natokea CAMEROON. Kosi langu la kiume, linalocheza kiume haswaa, lipo linamtesa Bafana Bafana. Wewe endelea kuwaombolezea wala urojo wa Taifa Stars.
 
Tuache hayo tuje kwenye tukio je haikupaswa kuwa penalty ?
Hapo sina la kuongea mkuu, kuna mengi ya kufikiria hapo, ila tusikimbilie tu kusema wamenyimwa haki bila kuzijua sheria
 
Dah yani mpira ni kama uchaguzi tu, unaweza zurumiwa haki yako na ukaona inaenda kabisa alafu mwishoe unampa mkono alie kudhurumu haki yako. Refa 1:Tanzania 0
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Msuva na Fei toto wamekosa clear chances wajilaumu wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ