FT: Namungo FC 0-3 Simba SC | NBC PL | 19.02.2025

Huyo jamaa anaondoshaje mpira hapo ilitakiwa amuachie Ateba afunge.
 
Hahaa nilisema Simba anashinda
3-0/3-1
 
Wakina Tatu malogo wamefanya yao Leo pale lindi,,mtu mzima anasubilia refa atoe penalty 3 ili aokolewe na timu ikiwa pungufu kwa zaidi ya dk 50?
Hiyo ni #UbayaUbwela inasepa na kijiji. Tofauti na utopolo wanaomiliki branch saba kwenye ligi moja.
 
Hii ligi imeharibika, GSM must go.
Iwekwe sheria ya kutokuwa mdhamini Zaidi ya club moja.
 
Refa anamejitahidi sana. Namungo utafikiri wanacheza kick boxing.. walitakiwa wawe wamebaki 7 uwanjani.
Ndivyo walivyokubaliana na Simba wacheze rafu ili kadi nyekundu itolewe. Wamekutana Mwana na Mwanakombo
 
Binti mwingine wa GSM kapigwa vitatu.Anza wewe na sisi tunamaliza.Mpira uchezwe kwa lugha wanayoelewa hao wavimba macho.
 
Hiyo ni #UbayaUbwela inasepa na kijiji. Tofauti na utopolo wanaomiliki branch saba kwenye ligi moja.
Au sio lakini angalizo tunatoa kwamba kelele atutaki tutakapoongeza gia,,hii mechi ya Leo imemaliza Kila kitu kwaiyo tusije kuona mbumbumbu yeyote ananyanyua bakuri lake kulalamika,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…