Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
😂🤣 leo nimefurahi sanaKabisa yaani. Nakazia Mkuu. 🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂🤣 leo nimefurahi sanaKabisa yaani. Nakazia Mkuu. 🤣
Kwasababu walikufa kiume kule kwa MWARABU, sasa mpaka waje wafufuke muda utakua umeenda sana.Hivi Kwanini kwenye Sub Robertinho na Mgunda huwa wazito sana? Timu haiko organized, wachezaji Hawaki motivated. Au sababu ya ASFC
Ujinga uliopo simba huwezi ona yanga ndio maana watakuwa mabingwa daima kocha amepewa uhuru sana haiwezekani wachezaji wengine hawataki tu na kuleta timu hovyo kbs bora wampe timu kibadeni tuMechi ni saa 1 usiku
Kuna mabadiliko makubwa kwenye kikosi cha leo na kile cha mwisho kilichocheza kule Morroco
Pamoja na hoja ya kuwapumzisha wachezaji lakini mtu kama Moses Phiri kukosekana hata benchi kunaongeza maswali.
Kibu D naye mechi hii kaikosa.
LIGI KUU: SIMBA YASHIKWA, YAZUIWA KUIKIMBIZA YANGA KWENYE UBINGWA
Simba imeshindwa kuikimbiza Yanga katika mbio za kuwania ubingwa wa Ligi Kuu Bara Msimu wa 2022/23 baada ya kutoka sare ya goli 1-1 dhidi ya Namungo FC kwenye Uwanja wa Majaliwa, Lindi.
Kwa matokeo hayo Simba imebaki nafasi ya pili ikiwa na pointi 64 katika mechi 27, nyuma ya #Yanga yenye pointi 68 katika mechi 26 wakati NamungoFC ipo nafasi ya 6 ikiwa na pointi 36 kwenye mechi 27.
Goli la Simba limefungwa na Jean Baleke dakika ya 27 kisha Hassan Kabunda akasawazisha katika dakika ya 39.
View attachment 2608839
Acha uchokozi. Guvu moja.Pale mnapoendeleza kufa kiume, hadi kwa Namungo.
Ntwara kuchereeee
Asante Namungo, nyie siyo wa kuwapa watu points za bure. Nanyi mmepigana kiume 🙊🙊🙊🙆♀️🙆♀️🙆♀️🙆♀️
Siku hizi ni kufa kiume, sijui mwanzo walikuwa wakifa kike 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Acha uchokozi. Guvu moja.
Umu uzie naniHuyu Banda kweli auzwe tu. Hakui wala kujiongeza
Hee hadi JINI Beleke na Saidoo?Kocha anachelewa fanya mabadiliko
Wachezaji waliocheza leo sioni ambaye anatakiwa kuendelea na Simba
Tulia binti chura...sisi na Ihefu ndo wababe wenu 😆😆😆Siku hizi ni kufa kiume, sijui mwanzo walikuwa wakifa kike 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mwaka wao huu mikia 💃💃💃💃💃💃
Natuliaje na watu mnakufa kiume. Sijui nanyinyi warembo mnakufa kiume? 🤣🤣🤣🤣🤣Tulia binti chura...sisi na Ihefu ndo wababe wenu 😆😆😆
Upo lakini unitag kwenye story kule tusuuze mioyo...
Nasikia nguvu wameziamishia kwenye MAJEDWALI.......😅😅😅Pale mnapoendeleza kufa kiume, hadi kwa Namungo.
Ntwara kuchereeee
Asante Namungo, nyie siyo wa kuwapa watu points za bure. Nanyi mmepigana kiume 🙊🙊🙊🙆♀️🙆♀️🙆♀️🙆♀️
Wewe mtagi hata story ya MAJEDWALI asee 🤔😅🏃🏃Natuliaje na watu mnakufa kiume. Sijui nanyinyi warembo mnakufa kiume? 🤣🤣🤣🤣🤣
Luv hata nafatilia hadithi yoyote basi kwasasa? Hakuna, Steve naye sijui kaendelea ama lah. Ila nikikutana na story yoyote nitakutag mtani wangu mzuri.
Ndio maanake hata akina Club Africaine, Real Bamako, Monistir na Rivers United nao waliwapa bahasha na hata Marumo Gallants nao tayari wameshapokea bahasha.
Huko kwa timu zinazo julikana mmepata nini?Dah.. Kwa kweli hivi vitimu vidogovidogo visivyokuwa na majina ukiacha Rivers Utd wengi tumevijua mwaka huu. Vina hadhi ya kucheza Ile Ligi tunayowakilishwa na Utopolo, Namungo, Geita, Azam
BadoKwahiyo yanga akishinda kesho anatangaza ubingwa?