FT: NBC Premier League Yanga 2- 1 Polisi Tanzania 16/08/2022

Hizi timu za majeshi ziachane na kuchukua raia kuwa ktk timu zao.

Waibue vipaji huko vikosini na kupata wachezaji walifudhu mafunzo ya kijeshi.
Siku hizi wanajeshi wana vitambi mambo ya football watayawezs wawaachie raia
 
Haya magoli ni machache sana.
Yanga inahitaji magoli zaidi
 
Kesho ndyo ligi inaanza rasmi hawa wa Leo walikuwa wanenguaji tu [emoji117][emoji117][emoji117][emoji117][emoji117][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji881][emoji881][emoji881]
 
Waambie yanga wasijifanye ni wazee wa kambaki kuna siku itawagharimu why kipindi cha kwanza wacheze kama wamevimbiwa?
 
Ukiitangulia kuifunga yanga usijipe guarantee kuwa umeshinda sisi ndio wazee wa comeback unbeaten.
Kesho makolo wanachezea kwa geita.

Mleteee mdhunguuuu🎵🎶🎼
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…