FT: NBC Premier League: Yanga SC 5-0 KMC FC | Azam Complex Stadium | 23/08/2023

Asante na bado HUJASEMA [emoji28][emoji91]
Wekeni maneno ya akiba. Yatayatokea yale ya ngao ya jamii Tanga.
Bado CAF champion League. Mkimalizana na Asas mjiandae kukutana na Wydad, Al ahly au Al hilali maana mabingwa watetezi lazima wakutane.
Mlichukua kombe na hizo timu zilichukua kombe kwahiyo siyo KMC tena wala ihefu.
Msimu huu shirikisho alipo. Ukipigwa champion league nyumbani
 
Hii ni ligi Mzee sasa yatajitokezaje hayo wewe unatosema???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…