Wakipekee
JF-Expert Member
- Aug 21, 2019
- 6,194
- 10,711
Ulikua wapi [emoji172][emoji172][emoji169]Sisi na wao lini jamani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulikua wapi [emoji172][emoji172][emoji169]Sisi na wao lini jamani.
Wekeni maneno ya akiba. Yatayatokea yale ya ngao ya jamii Tanga.Asante na bado HUJASEMA [emoji28][emoji91]
Hamujakoma Tu [emoji16][emoji16]Sisi na wao lini jamani.
Anakandwa mtu bila huruma
Yanga KMC
5 0
Hii ni ligi Mzee sasa yatajitokezaje hayo wewe unatosema???Wekeni maneno ya akiba. Yatayatokea yale ya ngao ya jamii Tanga.
Bado CAF champion League. Mkimalizana na Asas mjiandae kukutana na Wydad, Al ahly au Al hilali maana mabingwa watetezi lazima wakutane.
Mlichukua kombe na hizo timu zilichukua kombe kwahiyo siyo KMC tena wala ihefu.
Msimu huu shirikisho alipo. Ukipigwa champion league nyumbani
UTOPOLO LOLOTE LILILOBAYA LIWAPATE.
FT: UTOPOLO 1 VS 1 KMC.
KILA LA KHERI KMC.
Kuna mambo zilinibana kidogo Mkuu.Ulikua wapi [emoji172][emoji172][emoji169]
We jamaa unafaa kutafutwa tuwe tunakutumia kwenye mikeka yetuAnakandwa mtu bila huruma
Yanga KMC
5 0
Vipi hao makolo bado wanaendelea kuuchangamsha huu uzi?Hadi sasa Mashabiki wa Simba ndiyo wanachangamsha huu Uzi...
Swahiba unaniangusha 😀Kuna mambo zilinibana kidogo Mkuu.
😂😂😂 tunataka tulipe kisasi.Hamujakoma Tu [emoji16][emoji16]
Acha tu Swahiba. Wajua tena. 😉Swahiba unaniangusha 😀
Umesahau na hiiNdiyo mechi zake anazoweza kutamba hizo..
Mpunguze kuongea sana.Hii ni ligi Mzee sasa yatajitokezaje hayo wewe unatosema???
Tulikubaliana wakati wa usajili kuwa tusisikie tena haya malalamiko.Nguvu ya miamala
Prediction
Young Africans 5 - 0 KMC
Kawaida hata shirikisho mlituambia hivyo hivyo, baada ya nyinyi kutolewa South pamoja na kuota moto katikati ya uwanja, ila wanaume tukafika mpaka fainali.Mpunguze kuongea sana.
Msimu kwanza unaanza halafu kumbuka kuna gemu ngumu ya
CAF Champion league.