FT: NBC Premier League: Yanga SC 5-0 KMC FC | Azam Complex Stadium | 23/08/2023


Yaah mimi nilikiwa mzuri kuliko wewe kutoka na historia niliyo iweka ambayo ww haukuiweka ulipopewa nafasi baada ya kugongwa tatu moja.

Na ndio maana kuthibitisha hilo kwamba mimi nilikuwa mzuri kuliko ww ,nikachukua ubingwa wa ligi na nikafika fainali ya CAF confederation.

Au ww msimu uliopita unakitu gani cha kujivuna mbele ya Yanga.
 
Inatunga kutokea wapi , watu tushatoka msimu uliopita wewe unawaza yaliopita
 
Watu wanajivunia kucheza na mabingwa wenzao CAF champion league na kucheza African Super Cup.(Timu bora zote zipo hapa).

Wewe unajivunia kucheza shirikisho kupata medali? timu zilizoshindwa Champion league na walioshika nafasi ya 3 na 4 kwenye ligi zao. Duh!

Simba imepata African Super Cup na 4 bilion km zawadi ya African Super Cup
 
Mliumia sana kumbe ,nyie si mlipigwa tatu moja na Makirikiri mkapewa nafasi nyingine ya confederation kama tuliyopata sisi matokeo yake mkaota moto katikati ya uwanja na kuchoma pitch ya watu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuvuka makundi CL sio level zenu, nimekukumbusha mwaka huu mkitolewa hamuendi shirikisho,

Mngekua mmechukua kombe, ningeumia, kufika final ni kusindikiza mtu had mwisho wa safari yake, huna tofauti na aliyetolewa mwanzoni.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Onesha kombe la CAF, nikupee 5mil cash.
 
Timu zilizofanya vizuri kimataifa zitacheza African Super Cup.
Yanga walicheza shirikisho fainali wakavaa medali.
Kwanini hawapo African Super Cup?
 
Simba sio mbovu tatizo wanalinganisha na Yanga, lazima ionekane mbovu tu.
Nisaidie hapa
Timu zilizofanya vizuri kimataifa zitacheza African Super Cup.
Yanga walicheza shirikisho fainali wakavaa medali.
Kwanini hawapo African Super Cup?
 
Kamuulize babu yako Mgunda mwenye gundu.
Timu zilizofanya vizuri kimataifa zitacheza African Super Cup.
Yanga walicheza shirikisho fainali wakavaa medali.
Kwanini Yanga hawapo African Super Cup?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…