FT: NBC Premier League: Yanga SC 5-0 KMC FC | Azam Complex Stadium | 23/08/2023

FT: NBC Premier League: Yanga SC 5-0 KMC FC | Azam Complex Stadium | 23/08/2023

Wekeni maneno ya akiba. Yatayatokea yale ya ngao ya jamii Tanga.
Bado CAF champion League. Mkimalizana na Asas mjiandae kukutana na Wydad, Al ahly au Al hilali maana mabingwa watetezi lazima wakutane.
Mlichukua kombe na hizo timu zilichukua kombe kwahiyo siyo KMC tena wala ihefu.
Msimu huu shirikisho alipo. Ukipigwa champion league nyumbani
Al Ahly na Wydad wenyewe msimu huu watashangilia Yanga
 
Na nyie acheni mdomo yani kwa hizi 5 mnachoongaaa...mbona sisi kufunga hizo kawaida sana? Yani sio habari kwa Simba..mmeshaanza wakati tunasuka kikosi tulieni tujue mlisuka au kusokota....ndo kwanza mechi ya kwanza keleleeee keleee kibaooo...
 
Kawaida hata shirikisho mlituambia hivyo hivyo, baada ya nyinyi kutolewa South pamoja na kuota moto katikati ya uwanja, ila wanaume tukafika mpaka fainali.
Kipindi hicho Simba anaota moto nyie mlikuwa mnacheza shirikisho au Champion league?
😁😁😁
Mepangiwa kucheza CAF champion league pamoja na Simba. Yanga alicheza mechi mbili tu ya Zalan na Al hilal. Akatolewa. Simba amecheza mpaka robo fainali CAF Champion league.
Vile km yale ya zalan kwa Asas walikuwa hawana uwanja mechi zote home na away mecheza hapa hapa bongo. Juzi mecheza Djibout
😁😁😁😁
Wacha nichekee. Wanajiita wanaume. πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
kwa akili ya utopolo wanafikiri Confederation ni kubwa kuliko Champion League.
wanaume wameshindwa kucheza Caf champion league wanacheza kombe la washindwa.
Kwahiyo na nyinyi wanaume mtacheza African Super Cup?
ha ha ha ha ha ha ha
Aliyeita utopolo hakukosea
Wanaume wote wamecheza CAF Champion League na wanaume washoka wanacheza African Super Cup
 
Naona mmepiga bomu Afghanistan..
Opportunity never comes twice, ukipata bahati itumie, mlishindwa kuitumia bahati na Mtibwa dakika mbili mkaruhusu goli mbili.

Acha tujimwambafai hata kama tumelipua Kazakhstan

Daima mbele nyuma mwiko.
 
Kipindi hicho Simba anaota moto nyie mlikuwa mnacheza shirikisho au Champion league?
[emoji16][emoji16][emoji16]
Mepangiwa kucheza CAF champion league pamoja na Simba. Yanga alicheza mechi mbili tu ya Zalan na Al hilal. Akatolewa. Simba amecheza mpaka robo fainali CAF Champion league.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Wacha nichekee. Wanajiita wanaume. [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
kwa akili ya utopolo wanafikiri Confederation ni kubwa kuliko Champion League.
wanaume wameshindwa kucheza Caf champion league wanacheza kombe la washindwa.
Kwahiyo na nyinyi wanaume mtacheza African Super Cup?
ha ha ha ha ha ha ha
Aliyeita utopolo hakukosea
Wanaume wote wamecheza CAF Champion League na wanaume washoka wanacheza African Super Cup

Acha wivu kolo wewe ndio maaana huwa hamsogei kwa husda zenu huwa mnaishia kati
 
Kipindi hicho Simba anaota moto nyie mlikuwa mnacheza shirikisho au Champion league?
😁😁😁
Mepangiwa kucheza CAF champion league pamoja na Simba. Yanga alicheza mechi mbili tu ya Zalan na Al hilal. Akatolewa. Simba amecheza mpaka robo fainali CAF Champion league.
😁😁😁😁
Wacha nichekee. Wanajiita wanaume. πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
kwa akili ya utopolo wanafikiri Confederation ni kubwa kuliko Champion League.
wanaume wameshindwa kucheza Caf champion league wanacheza kombe la washindwa.
Kwahiyo na nyinyi wanaume mtacheza African Super Cup?
ha ha ha ha ha ha ha
Aliyeita utopolo hakukosea
Wanaume wote wamecheza CAF Champion League na wanaume washoka wanacheza African Super Cup
Sasa kipindi Yanga anacheza fainali ,Simba alikuwa anacheza na nani?

Ila na kumbuka nilisahau ,mlikuwa mnacheza nusu Fainal ya Azam Confederation na Azam FC.

Sasa kama Confederation ingekuwa ndogo mngejidhalilisha kwa kubeba mikuni na viberiti na kwenda kuota moto katikati ya uwanja. Wewe sema nyie uwezo hamna na ndio maana michuano yote ya CAF mnaishia robo.

We endelea kucheza na kuishia robo,ila sisi tukivuka makundi CAF ujue nusu au fainali hatuishii robo kama nyie na wala hatufanyi upuuzi mlioufanya nyinyi South.
 
Back
Top Bottom