Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yao Yao kapiga nyngi kama hizo janaOnana [emoji91]
😀😀😀Watakuja hapa wenye timu yaoSiyo kibu, si saidoo, si onana wala baleke wa kumuweka phiri nje, wapo waliomkaribia karibia kwamba phiri akiwa majeruhi ama kukosekana wakacheza, lakini sio phiri mzima halafu eti wao waanze.
mkuu kwamba huoni unabebwaHawa Singida wanamtafutia sababu refa aonekane anatubeba
Timu la kibwege linakuwa sasa.😀😀😀Watakuja hapa wenye timu yao
Mambo hua hayapo kama unavoyaona subiri DK 90Kwa tunaojuwa mpira, Singida hawana uwezo wa kupata matokeo kwa Simba mpaka dakika hii ninavyoangalia game.
Yanga tuwasubili hawa mbumbumbu kuwafunza adabu.
Hapo Singida sioni timu.
Msaidie kupuliza filimbi 😂Refa faulo za Singida hazioni 😀😀😀
Wamemaliza tyari?Simba wanamaliza mechi kipindi cha kwanza tena dk 20 za mwanzo
Saafi. Naona hujataka kupata maumivu nje ya Uwanja. 😅Niko Kange naelekea Mkwakwani
Fita ni fita muraaaHuu ni mpira au vita [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]