FT: Ngao ya Jamii: Simba SC 0-0 Singida FG Penati (4-2)| Mkwakwani Stadium Tanga | Agosti 10, 2023

FT: Ngao ya Jamii: Simba SC 0-0 Singida FG Penati (4-2)| Mkwakwani Stadium Tanga | Agosti 10, 2023

Hawa singida wangekuwa wanacheza na utopolo, wale gongowazi,chura wa jangwani, wasingekuwa wanaonekana hivi, wasingeshine kabisa.
 
Nadhani Kibu D kama anacheza, kocha aangalie uwezekano wa kumpanga katika viungo watatu wa kati kwa mfumo wa 4-3-3 ,Sababu kibu sio mfungaji mzuri ,sio mpiga pasi za mwisho mzuri ila ni mchezaji anayeweza anzisha shambulizi na kupandisha timu kwa uharaka pindi wanapokaba mpira kutoka timu pinzani .
Tatizo la kibu ubinafsi umemzidi.Vyenga vingi mpaka anaharibu.
 
Back
Top Bottom