MwananchiOG
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 1,970
- 4,037
Pambana na singida kwanzaAzam wangecheza nusu ya uwezo walioomesha leo Singida sijui
Kama hajui mpira basi we ndo sifuri kabisa
yaani awe hajui ila faulo na maamuz yawe ya upande 1 tuSingida washaanza kukata moto ,lakini hii mechi siyo kwamba refa anapendelea timu flani bali hajui kuchezesha
Azam sio size yake akikutana nae atafumuliwaPambana na singida kwanza
Azam kila siku anakuua
Yaani unajaribu kuyapamba pamba maneno kama watu hawaoni kinachotokea kwenye TVSingida washaanza kukata moto ,lakini hii mechi siyo kwamba refa anapendelea timu flani bali hajui kuchezesha
Ataingia second half mapema, asipomweka basi atamuweka simba tushapigwa kuondoa lawamaHivi Phiri amemkosea nini huyu kocha?
Amuweki ng'oooAtaingia second half mapema, asipomweka basi atamuweka simba tushapigwa kuondoa lawama
Kupeleka mzigo na kuongeza makalioSijui walifuata nini Uturuki??