FT: Ngao ya Jamii: Simba SC 0-0 Singida FG Penati (4-2)| Mkwakwani Stadium Tanga | Agosti 10, 2023

FT: Ngao ya Jamii: Simba SC 0-0 Singida FG Penati (4-2)| Mkwakwani Stadium Tanga | Agosti 10, 2023

Huyu kipa ni vile singida hawampigii mashuti, anatema mipira sana
Ni bora kumchezesha yule kipa aliyetoka KMC na uzoefu wa kutosha kuliko huyu dogo asiyejua lolote, yani huyu wakianza kumchungulia vizuri ni lazima wapate goal.

Kama Simba Sc ataingia fainali, basi atafungwa kwa ujinga wa huyo kipa.
 
🤣🤣🤣 kibu D, dah kummke walai, mungu akiamua kukupa utapata tu, huyu kibu kwa akili ya mpira haniwezi, nikifanya matizi miezi mi3 mfululizo, nalala kwa wakati, napiga pumbu za kiaste aste 🤣 huyu kibu anaweza kufukuzwa.

Kibu nguvu kulukundu.. nguvu nyingi kuliko akili.
Mpira hauko hivyo sheikh, ukiingia hata mechi ya ndondo utapoteana vibaya sana ndugu yangu... Dakika 5 maji utayaita mma
 
Haijamshinda anatekeleza maelekezo aliyopewa kuwa lazima Simba ichsze fainali
Basi kama ni hivyo mategemeo yangu hiyo itakuwa habari njema kwenu ili mlipe kisasi.

Lakini cha ajabu naona wengi wenu mnapenda tufungwe, je hiyo haimaanishi kwamba kuna kitu mnakikwepa?
 
Back
Top Bottom