FT: Ngao ya Jamii: Simba SC 0-0 Singida FG Penati (4-2)| Mkwakwani Stadium Tanga | Agosti 10, 2023

FT: Ngao ya Jamii: Simba SC 0-0 Singida FG Penati (4-2)| Mkwakwani Stadium Tanga | Agosti 10, 2023

Sijui kwanini Father Ntiba Bujumbura asingekuwa anawekwa the last 15 or 20minutes
Mimi huwa sioni umuhimu wake uwanjani, huyu ilifaa awe anakuja kufunga kazi dk 20 za mwisho (kama ikihitajika).

Kramo hayupo hata kwenye benchi ila Ntiba na Kibu wanapata nafasi.
 
Back
Top Bottom