FT: Ngao ya Jamii: Simba SC 0-0 Singida FG Penati (4-2)| Mkwakwani Stadium Tanga | Agosti 10, 2023

FT: Ngao ya Jamii: Simba SC 0-0 Singida FG Penati (4-2)| Mkwakwani Stadium Tanga | Agosti 10, 2023

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kibu D, dah kummke walai, mungu akiamua kukupa utapata tu, huyu kibu kwa akili ya mpira haniwezi, nikifanya matizi miezi mi3 mfululizo, nalala kwa wakati, napiga pumbu za kiaste aste [emoji1787] huyu kibu anaweza kufukuzwa.

Kibu nguvu kulukundu.. nguvu nyingi kuliko akili.
Ha ha ha ha
 
Ni bora kumchezesha yule kipa aliyetoka KMC na uzoefu wa kutosha kuliko huyu dogo asiyejua lolote, yani huyu wakianza kumchungulia vizuri ni lazima wapate goal.

Kama Simba Sc ataingia fainali, basi atafungwa kwa ujinga wa huyo kipa.
Huyu kipa mpaka sasa hajafanya makosa mengi kama ya kipa wa Azam jana.
 
Ubora wa singida Leo Azam hata wawe 16 uwanjani ,singida ya Leo Iko vizuri sana sana ! Simba inatuonyesha ukubwa wake na che Malone anaonyesha Simba ni klabu kubwa hongera zao
 
Back
Top Bottom