Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Ni bora kumchezesha yule kipa aliyetoka KMC na uzoefu wa kutosha kuliko huyu dogo asiyejua lolote, yani huyu wakianza kumchungulia vizuri ni lazima wapate goal.Huyu kipa ni vile singida hawampigii mashuti, anatema mipira sana
Kama Simba Sc ataingia fainali, basi atafungwa kwa ujinga wa huyo kipa.