FT: Ngao ya Jamii: Simba SC 0-0 Singida FG Penati (4-2)| Mkwakwani Stadium Tanga | Agosti 10, 2023

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mikia banaa...
πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sasa kuwa na Kocha wa nje mwenye uwezo mdogo kama huu, huoni kwamba ni bora kuwa na Mzawa tu?
Mwanzoni mmlimwagia sana sifa hasa alipomfunga Nabi ila sasa mnamkataa....
 
Kwa game hii na ya jana, kama simba wasingehijack dili ya ngoma na angeenda utopoloni, tungeteseka mnooo kwa aina ya mpira wa yanga.
Hilo moja, pili simba haina namba 8, mzamiru hamna kitu kabisaaa, kaisha kweli kweli, anapoteza mipira mingi na hapigi pasi za hatari.

Kocha safari inamuita.
 
Hahahaha 🀣🀣🀣🀣 ila refa kaona Simba wanaweza fungwa kamaliza Mpira.
 
Hayoooooooo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…