FT: Ngao ya Jamii: Simba SC 0-0 Singida FG Penati (4-2)| Mkwakwani Stadium Tanga | Agosti 10, 2023

SBS ni funzo kwa uto na robo robo fc, kwamba hakuna haja ya kutumia gharama kubwa kununua wachezaji wa kigeni ambao hawazisaidii timu zao kwa lolote.
halafu hizi pre season za kuenda ulaya au kwa waarabu zife
 
Lazima tukubali..
Robertino anakosa ubunifu ktk attacking..
Mwanzo hadi mwisho cjaona creations ya clear chances zaidi ya crossing crossing crossing..
 
Azam kampiga mara ngapi Simba hivi karibuni, Azam angekuwa anacheza na Simba leo mpaka sasa Azam angeongeza goli 2 au 3.
 
Simba bila Chama ni Nyau [emoji1787]
Ata mimi nakubali.Mpira wa leo ndio umetuonyesha jinsi chama alivyo muhimu.walivyokua wanamringia nilijua wamepata mtu wakuziba pengo lake kumbe hamna kitu.Timu haina kabisa mfumo pale mbele.
 
Hapa afisa habari ajiandae tu, hii safari imeonekana mapema sana.
 
Fainali ikiwa Simba na Yanga ingependeza sana. Hata kama Yanga wanawatamani Singida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…