FT: Ngao ya Jamii: Simba SC 0-0 Singida FG Penati (4-2)| Mkwakwani Stadium Tanga | Agosti 10, 2023

Hii mechi kwa wazi kabisa Singida walistahiri kupita
Unazi huo unakudanganya!! Namba hazidanganyi, angalia takwimu za mchezo!!. Shoots on target & ball possession & corner kicks!! Kwa kuzingatia takwimu hizi mshindi alikuwa ni mmoja tu, na ndiye huyo kaibuka kidedea!! Usiyempenda kaja!! jitie nguvu tu kukabiliana naye!! utopolo wanaanza kugwaya!!
 
Ziliongezwa dakika 4, kipenga cha mwisho kimepulizwa dak ya 95, wewe ulitaka goli nje ya muda? Pole usiyemtaka kaja!!
alipo shambulia simba tayari dk zilisha isha mbona hakupuliza kipenga hadi alipo ona wanashambuliwa

kwa nini apulize kabla ya shambulizi kumalizika anategea kwenye katikati ya shambulizi ndio anapuliza kipenga
 
[emoji881] nguvu 1
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
alipo shambulia simba tayari dk zilisha isha mbona hakupuliza kipenga hadi alipo ona wanashambuliwa

kwa nini apulize kabla ya shambulizi kumalizika anategea kwenye katikati ya shambulizi ndio anapuliza kipenga
Kipenga hupulizwa muda ukiisha na si kusubiri shambulizi liishe!! Kila timu nilikuwa na dk 90 za kusaka ushindi, ukishindwa kuzitumia hizo, afadhali ulalamikie kuwa dk 90 hazitoshi, heri sheria ibadilishwe ziwe dk 100, na ulkalamikie FIFA!!!
 
Kwaio,ndo Kusema ndani ya Miaka Mitano iliyopita hakuna Timu Yenye Performance bora Kushinda Simba Kwa eneo lote la Afrika Mashariki na Kati.
Paragraph yako ya Mwisho,Umehitimisha vyema mkuu...!
 
Kipenga hupulizwa muda ukiisha na si kusubiri shambulizi liishe!! Kila timu nilikuwa na dk 90 za kusaka ushindi, ukishindwa kuzitumia hizo, afadhali ulalamikie kuwa dk 90 hazitoshi, heri sheria ibadilishwe ziwe dk 100, na ulkalamikie FIFA!!!
muda uliisha simba akiwa anashambulia mwamuzi hakuona kuna haja ya kupuliza hadi asubiri akishambuliwa nyauk
 
Mmmmmh sio level yangu. Naomba nikuache. Huna hoja
Halafu ushindi wa simba umewauma sana utopolo kuliko hao singida wenyewe!! poleni!! msiyempenda kaja!! hakuna jinsi!! itabidi mjitie nguvu tu kukabiliana naye maana unyama mwingi utalenga hapo hapo kwenye mshono!!
 
Najaribu kuwaza kwa sauti kama ni kweli ile Simba iliyoenda Uturuki imesharudi Tanzania au bado
Poleni wana uto!! Jiandaenin mapema, unyama mwingi utaelekezwa kwenye mshono!! Msijifanyanye mmesahau kuwa mnao mshono!! (mshono wa Mnyama 2 - 0 Utopolo)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…