Wakipekee
JF-Expert Member
- Aug 21, 2019
- 6,194
- 10,711
Achana nae huyo kazoea kutukanaOh! Kumbe ni sehemu huwa mnapiga story na akina dada bana. Nashukuru kwa ku share mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Achana nae huyo kazoea kutukanaOh! Kumbe ni sehemu huwa mnapiga story na akina dada bana. Nashukuru kwa ku share mkuu
Aibu naona mimiRefaaa
Bocco, Ntiba, Kibu, sijui nini kinafanya huyu kocha awakubali.Bocco kaingia kuchukua nafasi ya Baleke
Kwani mkitokea dar mlikuwa mnaenda kwenye mechi ya mademu?Ubora wa singida Leo Azam hata wawe 16 uwanjani ,singida ya Leo Iko vizuri sana sana ! Simba inatuonyesha ukubwa wake na che Malone anaonyesha Simba ni klabu kubwa hongera zao