FT: Ngao ya Jamii: Simba SC 0-0 Singida FG Penati (4-2)| Mkwakwani Stadium Tanga | Agosti 10, 2023

FT: Ngao ya Jamii: Simba SC 0-0 Singida FG Penati (4-2)| Mkwakwani Stadium Tanga | Agosti 10, 2023

Na mlipenda ipite maana mnaogopa moto atakaoupeleka kwa Utopolo Jumapili lakini bahati haijawa yenu mnyama uso kwa uso na Utopolo Jumapili.
Yao yaooooooooo
Pro Max
Chambu chambu Funguo
Mzizee Yule pale 😆😅😁
 
Hivi huyo kocha kumfunga Yanga ya Nabi na Mayele alibahatisha au?
 
Kweli kaka, mtaani kuna msemo wa "mtu si mbwa"
Leo katufaa bana
🤣🤣🤣
Simba imesajili wachezaji ambao wako vizuri sana kwenye footwork

Tofauti na mwanzo ambapo ikitokea penati kila mtu anaukataa mpira. Kapombe ndio alikuwa hope

Lakini saizi kila mchezaji aliyesajiliwa wameangalia aspect hiyo, hofu ilikuwa tu kwa kipa lakini kwa wapigaji nikuwa sina shaka nao kabisa
 
Back
Top Bottom