FT | Ngao ya Jamii: Yanga SC 2-0 Azam FC | Mkwakwani Stadium Tanga | Agosti 9, 2023

Kwa mpira gani wa ajabu ulonao? Leta hiyo timu yako uanze malalamiko kwann Phiri hachezi.
Umakumbuka mara ya mwisho tuliwalaza na viatu Sasa mambo yanajirudia tena nyie ni chakula chetu.
 
Aisee nitafarijika sana wakifungwa, ili wakutane tena na wababe wao Azam kwenye kutafuta mshindi wa tatu.
Kwahiyo hutaki tukutane siyo?
Mtani we tuombee tuishinde hiyo mechi ili tujue nani karamba dume kwenye usajili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…