FT: RS Berkane 2-0 Simba SC | Fainali CAF Confederation Cup | 17 Mei, 2025

Muulizeni magori bado anatamba na kauli ya yanga!maana wametuibia kauli mbiu """"HATUCHEZI"""
Wanaogopa kusema "hatuchezi"magoli anasema "sisi hatutakuwa tayari kucheza"anaweka sentensi iwe ndefu
 
we jamaa tulia basi, 😄
unachonga ngenga,,
 
Wale jamaa wanavyopress Simba hawawezi kupaki mzee,angalia na watu unaocheza nao
 
Simba ilipoteana dakika za mwanzoni ila hawa vitoga hawana mpira wakutisha

Tunaweza kuwakazia wabaki na huto tugoli twao tuwili afu tuje tuwapige 3 nyumbani.
Kama ulishindwa kupata goli tatu mpaka mkaenda penalt kwa ile timu mbovu ndio mtaweza kupata tatu bila kwa Berkane.
 
Wanasema watapindua meza kipindi cha pili. Hawa madunduka ni wabishi sana. Kwanza wanatuaibisha huko. Hivi hatuwezi kutupa kitambaa cheupe kuwa kombe wachukue tu hao Berkane? 🥹
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…