FT: RS Berkane 2-0 Simba SC | Fainali CAF Confederation Cup | 17 Mei, 2025

Afrika fainal ni mechi ya kwanza ya pili sherehe.

Huu ujinga hata yanga waliufanya mechi ya kwanza kupasuka.
Mazingira ya Utopolo na Simba ni tofauti kubwa tu.

Huyo chura alikosea kupasuka nyumbani..
 
Kocha wa Berkane alipanga 4-1-4-1

Madunduka kocha wao akapanga 4-3-3.
Ngoja tuone watatumia set gani, tarehe 25. Ila madunduka mna midomo 🙌🙌🙌🙌🙌🙌
 
Simba wanashukuru Mungu mpira umeisha wapumue, dakika 90 ngumu hii ndio fainali wenzenu tulishapitia.

Mwarabu anakuja kufunga hesabu Zanzibar na goli nyingine 2.
Cheers
Ndio utofauti wenu na sisi

Wewe ulipita kama mshiriki sisi tunanyanyua ndoo.

Hata wewe hukuamini kama mechi itaisha hivi hususani kipindi cha kwanza kilivyoisha.
 
Baller yaan waliofunga wamemfunga nje na wanakuja kumfunga ndani, Simba hamna kitu aibu tupu bora wakacheze huko huko kwa Amani kwa Mkapa wasicheze
Kama unaakili timamu na unafuatilia mambo ulitegemea mechi ya leo simba ishinde?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…