FT: RS Berkane 2-0 Simba SC | Fainali CAF Confederation Cup | 17 Mei, 2025

Ndugu zangu hapa bongo lazima muwe na mpango mkakati na yule Camara naona kabisa yy ndiye atakaye kuwa anaanzisha mashambulizi na jamaa anajua kuziweka kwenye njia, yaani utazani sio kiungo mkabaji.Msipokuwa makini Counter hawa jamaa watakuwa ni hatari.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Ila ishu zinazohusu uchumi wao...ubaadae wao haaaa....hawana muda
 
Simba acheni kusumbua watu na uwanja wa Mkapa, ngoma imeshaisha hii

CAF wanalalamika mnawasumbua sana kuhusu uwanja, mmeshafungwa na jamaa mmewaona hamtoboi mtulie sasa.
Utoto + Utopolo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…