FT: RS Berkane 2-0 Simba SC | Fainali CAF Confederation Cup | 17 Mei, 2025

Tatizo mtani siyo kushinda.
Mtashinda ngapi?
Mtaweza kubana pale nyuma au mtamruhusu mwarabu awaguse?
Angalia goli la pili la leo, walinzi watano wa Simba dhidi ya mshambuliaji mmoja yupo katikati yao kawageuza.
Hata 2 zinawezekana. Hayo ni makosa lakini yanaweza yasijirudie kama 2nd half
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ hivi jf huwa hakuna mahali unabonyeza ukitaka kucheka kwa sauti wajameni?. Anajua tafadhali ninacho kicheko kimojaaaa๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
 
Baada ya kufunga 1 nini kiliwatokea mpaka mechi inaisha ?

Pia kumbuka kuwa Simba kwa namna yoyote ina kazi ya kufunga duka kwa namna yoyote asifungwe na Berkane timu ifanye ifanyavyo isiruhusu goli.
Tutajitahidi haturaruhusu goli
 
Mpira malengo

Ndio maana mlitolewa group stage kwasababu hamkuwa na ambitions
Mlitolewa wakina nani una maanisha ?

Simba igekuwa na malengo mechi hikupaswa kuisha 2-0
 
Odds Simba alikuwa ana 14 Berkane 1.2 ni mtu mjinga pekee angefikiria kinyume na kilicho tokea mpaka sasa.
Odds zina panda na kushuka ndio maana baada ya wao kubahatisha goli 2 odds za magoli 2.5 over ilikuwa ni 1.04

Lakini kipindi cha pili kilipoanza mpaka dakika ya 70 odds zikapanda hadi 1.80 kuashiria mazingira ya hilo goli moja kupatikana ni magumu.

Kwa hiyo usipagawishwe sana na odds, we subiria second leg uone odds zitakuwa ngapi kwa RS Berkane.
 
Jaman husu kocha msaidiz anaenda na timu kufanya nn yupo kazubaa kama mabeki zake
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Mmeanza kutafuta watu bila sababu.... Sasa kocha msaidizi ameingiaje kufungwa kwa timu?. Mbona usimlaum Camara kwa boko lake. Nyie mbumbu huwa hamjitambui. Na tunasema hivi mechi inahamia kwa mkapa mtokonyolewe zingine 2 aloo. Sema mpanzu anajua sana zile chenge na mabio yake ๐Ÿ˜ƒ
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ hivi jf huwa hakuna mahali unabonyeza ukitaka kucheka kwa sauti wajameni?. Anajua tafadhali ninacho kicheko kimojaaaa๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
Ukijibana kicheko kitatokea kwenye jicho la chini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ