Kumuonea haya Bocco nalo ni tatizo sugu. Unakuacha Baleke, Phiri benchi kwa ajili ya Bocco kweli?
kumbuka kwenye mechi ya horoya Bocco alipoingia ndipo forward ilichangamka
 
Mi utopo ipo busy knwy uzi za watu za kwao sasa hata huyaoni tunakuwa Simba tuu...
Ihata tufungwe ile rekodi ilopigwa chura na Raja 6 kwa 0 haitatokea...
Unataka tuwapishe kwenye uzi wenu?

Ili tusipate updates?

Kesho mtuongopee kwamba mliupiga mwingi, refa akawaonea?

Tuko hapa mpaka dakika ya mwisho. Mkisimama nchale, mkiinama nchale!
 
Come on' Simba msi hesitate mnapofika eneo la mwisho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…