Shida imeanzia kati wametuzidi.. Striker ni kocha tu, baleke na phiri si wapo benchi.
sikatai kuhusu katikati, nakubali ila pia Baleke bado boss na Phiri nadhani sio mshambuliaji wa mwisho.
 
Sikutegemea Bocco aanze leo baada ya kuzingua game iliyopita..
 
sikatai kuhusu katikati, nakubali ila pia Baleke bado boss na Phiri nadhani sio mshambuliaji wa mwisho.
Sio wa mwisho lakini anakupa vile ambavyo kina boko wanashindwa kukupa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…