Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
- #661
Namna Raja wanavyocheza na kuutunza mpira...salute kwao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sikatai kuhusu katikati, nakubali ila pia Baleke bado boss na Phiri nadhani sio mshambuliaji wa mwisho.Shida imeanzia kati wametuzidi.. Striker ni kocha tu, baleke na phiri si wapo benchi.
😀😀Kutukanana kutusiana, mnyama kakatwa mkia.
Unacheka timu ya taifa ☹️ tutakuaresti urare seroHahahaaa. Nacheka kwa dharaaaaau. 😂😂😂😂😂
Ameingia mkudeMlio kwenye Runinga mtuambie Mabadiliko yaliyofanyika
Hao ni wa NBC PLsikatai kuhusu katikati, nakubali ila pia Baleke bado boss na Phiri nadhani sio mshambuliaji wa mwisho.
Guvu moya 😀Go Simba
Press them hard
Ushindi wa leo utafungwa na mchezaji yeyote hata Manula leo anategemewa kwenye eneo la mwishoHakuna mshambuliaji pale mbele mkuu
Guvu moya 😀
Kocha ingiza Baleke pale mbeleee
Sio wa mwisho lakini anakupa vile ambavyo kina boko wanashindwa kukupa.sikatai kuhusu katikati, nakubali ila pia Baleke bado boss na Phiri nadhani sio mshambuliaji wa mwisho.