Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Acha ubaguzi,kepteni wetu akiwashe......akikosa tano ya sita anafungaSikutegemea Bocco aanze leo baada ya kuzingua game iliyopita..
Kaa mpk kukuche hahahUnataka tuwapishe kwenye uzi wenu?
Ili tusipate updates?
Kesho mtuongopee kwamba mliupiga mwingi, refa akawaonea?
Tuko hapa mpaka dakika ya mwisho. Mkisimama nchale, mkiinama nchale!
Hiyo imoj ni kichekoGuvu moya π
Kocha atoe Bocco muda bado unaruhusu...Anasubiri Tufungwe Goli la 2
Usifanye hivyooo,hiyo ni roho mbaya mkuuNamtafuta Mganga wa Boko nimkatie Bima ya afya .
Boko anatingisha matako tu hamna kitu anafanya uwanjan
Hata huyo Baleke ni garasa tuKocha atoe Bocco muda bado unaruhusu...
Kuna kitu kimoja hatutaki kukubaliNilisema kwa aina ya kikosi cha simba, wakijitahidi ni sare! Kuna watu walichukia. Hata kesho kwa Yanga; wasipokuwa makini, mambo yatajirudia.
Uwekezaji wetu bado uko chini ukilinganisha na wenzetu. Ni hamasa pekee ndiyo itakayo zisaidia timu zetu. Ila siyo kwa kupitia wachezaji aina ya John Rafael Bocco.
Hii inasaidia vipi kusawazisha goli tulilofungwa ?Utopolo mkumbuke Simba tupo ligi ya mabingwa, nyie mpo kule kwa losers, mnaonekana mmeridhika sana na kufeli kwenu[emoji1787][emoji1787]
Basi sawaUshindi wa leo utafungwa na mchezaji yeyote hata Manula leo anategemewa kwenye eneo la mwisho
Tulia, tena dakika zikisogea kidogo na Phiri anaongezeka, ni kupeleka moto tu..Hata huyo Baleke ni garasa tu
Mi hicho ki avatar chako kinanichekesha hata kama nina hasira....Basi sawa
Guvu moya π
Ni imoji kuonyesha Simba inashinda na njaaHiyo imoj ni kicheko
I'm too dumb when it comes to imoj
Kama umenicheka fresh tu
Taifa hatoki mtu. Teh teh teh.Unacheka timu ya taifa βΉοΈ tutakuaresti urare sero