FT: Simba 0-3 Raja Casablanca | CAF Champions League | Estadio Benjamin Mkapa | 18.02.2023
Unataka tuwapishe kwenye uzi wenu?

Ili tusipate updates?

Kesho mtuongopee kwamba mliupiga mwingi, refa akawaonea?

Tuko hapa mpaka dakika ya mwisho. Mkisimama nchale, mkiinama nchale!
Kaa mpk kukuche hahah
 
Bocco ametoka jamani watu wanashangilia huku
 
58' Ametoka Bocco na nafasi yake anachukua Baleke upande wa Simba SC
 
Nilisema kwa aina ya kikosi cha simba, wakijitahidi ni sare! Kuna watu walichukia. Hata kesho kwa Yanga; wasipokuwa makini, mambo yatajirudia.

Uwekezaji wetu bado uko chini ukilinganisha na wenzetu. Ni hamasa pekee ndiyo itakayo zisaidia timu zetu. Ila siyo kwa kupitia wachezaji aina ya John Rafael Bocco.
Kuna kitu kimoja hatutaki kukubali
Class is permanent but form is temporary
Timu zetu ni average Hua tunapata hype ya muda
Sasa Hua tunajisahau na kujiona tupo class moja na kina ahly, zamalek, Mamelodi, WAC, Mazembe, Vuta nk
Wachezaji wetu ni average grade C ndio maana Wakienda nje wakikutana na grade A na B Hua wanafeli vibaya
 
Utopolo mkumbuke Simba tupo ligi ya mabingwa, nyie mpo kule kwa losers, mnaonekana mmeridhika sana na kufeli kwenu[emoji1787][emoji1787]
Hii inasaidia vipi kusawazisha goli tulilofungwa ?
 
125B55C0-64B1-47CD-AF9D-32857700DC62.jpeg

Leteni viasi wanangu simba
 
Back
Top Bottom