Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Vipi zile 5 5 mlizopigwa za msimu uleRekodi hii haitavunjwa
Raja 6 Yanga 0
Wafariji wenzakoAma kweli nimeamini wingi wa watu sio hoja jamani. Lol
Yaani wamejazana halafu wote kama wamepigwa shoti hamna anayejitikisa. 🤣🤣🤣🤣
Naomba nikucheke Mtani. 🤣🤣🤣Hizi timu za Bongo ubora wake upo kwenye keyboard za mashabiki hapa JF pekee.
Lakini uwanjani ni hopeless😂😂😂
Guvu moya [emoji3]
Unacheza na kichapo cha chumbani kwako. Na wala sio sebuleni😂🤣😁😄Ama kweli nimeamini wingi wa watu sio hoja jamani. Lol
Yaani wamejazana halafu wote kama wamepigwa shoti hamna anayejitikisa. 🤣🤣🤣🤣
Litoke wapi mikia wanacheza kama vitoto vya shul ya misingiHapa linahitajika goli moja tu la kufungua njia, then muarabu aki panic zitafuata nyingine mbili...
Tatizo ni mudaHapa linahitajika goli moja tu la kufungua njia, then muarabu aki panic zitafuata nyingine mbili...
Uipate wapi mbele ya waarabuIle spirit waliyoungia nayo Simba kipindi cha pili naona imekata
😀😀😀Mei biiTuwaombee wa home hii ni Tanzania bana