FT: Simba 0-3 Raja Casablanca | CAF Champions League | Estadio Benjamin Mkapa | 18.02.2023
Hapa linahitajika goli moja tu la kufungua njia, then muarabu aki panic zitafuata nyingine mbili...
 
Ile spirit waliyoungia nayo Simba kipindi cha pili naona imekata
 
Ama kweli nimeamini wingi wa watu sio hoja jamani. Lol

Yaani wamejazana halafu wote kama wamepigwa shoti hamna anayejitikisa. 🤣🤣🤣🤣
Unacheza na kichapo cha chumbani kwako. Na wala sio sebuleni😂🤣😁😄
 
Hapa linahitajika goli moja tu la kufungua njia, then muarabu aki panic zitafuata nyingine mbili...
Litoke wapi mikia wanacheza kama vitoto vya shul ya misingi

USSR
 
Dakika ya 72

SIMBA 0 RAJA CA 1


Sub kwa RAJA

AZRIDA OUT

Sabbar In


upande wa Simba


Sakho out

Phiri In
 
Mashabiki wetu nao huwa wanaenda uwanjani kushangilia magoli tu, hata hawajui kupandisha morali ya timu...
 
Boko hakutakiwa kucheza na mkude alitakiwa kuanza

USSR
 
Back
Top Bottom