Hii ni aibu ninayoina hapa aisee, yaan pamoja na ugeni mzito kiasi hiki ila uwanja viti vingi viko wazi kulikoni jamani? Au ndio kwamba hawana matumaini na timu yao
 
Mkiacha ushabiki maandazi na kuangalia kwa uhalisia tukio ni zuri. Viti wazi ni uoande wa AL AHLY Mkuu ila sio kwa watani. Wametuwakilisha vyedi kabisa. Acha majungu mkuu.
 
Hii ni aibu ninayoina hapa aisee, yaan pamoja na ugeni mzito kiasi hiki ila uwanja viti vingi viko wazi kulikoni jamani? Au ndio kwamba hawana matumaini na timu yao

Acha gubu mke mdogo... Komaaa na mke mkubwa.....
 
Kwahiyo huyu Kiba ndio kalipwa pesa kuja kufanya hivi? Emu tujaribu kuwa serious kidgo na pesa za watu!! Bibi yangu sio msanii ila anaweza kufanya mara 5 ya alichokifanya Kiba
 
Wasanii wa Bongo chenga sana, yaani walioshindwa kutunga wimbo au kujiandaa Kwa onyesho maalumu la mpira Hadi waimbe nyimbo za ajabu ajabu?
 
Hii ni aibu ninayoina hapa aisee, yaan pamoja na ugeni mzito kiasi hiki ila uwanja viti vingi viko wazi kulikoni jamani? Au ndio kwamba hawana matumaini na timu yao
Uchawi wako umekufanya uchague kuona aibu, badala ya mazuri yanayofanyika hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…